Matapishi n kinyaa, huwezi rudisha tena kwenye kinywa,
Japo mengi ulisema kama nuru ghafla ukazima.
Ikawa ngumu kukusahau nikasema moyo ukomee,
kwa kali sulu na madharau penzi ulivunja na ngome
Na unajua hata nikilia siwezi kutokwa na machozi,
we ndio ulifanya macho yangu, yaone wengi waongo
na ukaudhulumu moyo wangu uliuza penzi kwa magendo
Leo unatamani ww kurudi ya zaman ni ndotooo
Wewe ulinirubuni kwa penzi la kidali kama mtotooo

By: Rich Mavoko
Song: Ibaki Story

Comments