Aii, Aii Nyotaa ahh
Nyota Ndo Tatizo Langu
Aii Nyota Ahh Hadi Nalia Pekee Yangu
Aii Nyota Ahh Nyota Ndio Shida Yangu
Nyota Ahh Wamenizidi Wenzangu
Alidanganywa na Wale (Walee)
Wenye Pesa Nyumba Gaari (Gaari)
Mi kapuku Hakunijali (Jaali)
Akanimbiaa
Alidanganywa na Wale (Walee)
Wa Mapesa Nyumba Gaari (Gaari)
Mi Mnyonge Hakunijali (Jaali)
Akanikimbiaa

By: Diamond Platnumz
Song: Nitampata Wapi

Comments