Nilifundishwa na
bibi kijijini jinsi ya kupenda
Na mwanamke
hapigwi na ngumi ila upande wa kanga
Tena mapenzi sio
ligi, nikakubali kushindwa
Mi sikufunzwa
graji, tushindane risasi kwa panga
Mbona nilikuthamini
mengi nikakusevia
Sitosema
hadharani wengi wakayasikia
Sio wakunipanda
kichwani, hukumbuki tulipotokea
Na kunishusha
thamani, kipi nilichokosea
Ingawa kidogo
nilichopata, nikajinyima uridhike
Ila hukujali
ukanikatili moyoo
Majirani
walinicheka uliponiforce nipikee,
ahhh sio siri
ilinivunja moyoo
Kisirani, ugomvi
bila chanzo,
ni ukweli uko
moyoni sina budi nilivue pendo
Ingawa kishingo
upande
By: Harmonize
Song:Aiyola
Comments
Post a Comment