Busara na upole
Na hekima niliyorithi kutoka kwa mama yangu, Mama Vyote hukuvijali, ukaona silingani kabisa kuwa na wewe

Kwa kuti na mkole,
ukakata kabisa na shina la penzi langu mama Eti kisa mali,
ukaona bora uniache mimi na uolewe

Ile siku shekhe namuona anachoma ubani
Unavishwa pete unakua mke wa fulani
Nliumia sanaa, sanaa
Ile siku shekhe namuona anachoma ubani
Unavishwa pete unakua mke wa fulani
Niliumia sanaa, niliumia sanaa, sanaa

By: Diamond Platnumz
Song: Mbagala

Comments