Ndo Maana Naona hata
Sina Maana Tena
Nilifikiri Mi Gonjwa
Langu Limepata Mponyaji
Umeniongezea Homa
Mwili Wote Wantetema
Mi Naona Basi Labda Si
Ridhiki Yangu
Kama Hunitaki Acha Tu
Niende Zangu
Ya Nini Mishikaki
Ntatafuta Boda Yangu
Nijinafasi Niipande
Peke Yangu
By: Lavalava
Song: Bora Tuachane
Comments
Post a Comment