Usinione nalia usinione nalia mwenzenu nalia na mengi,
Usinione nalia nalia sababu ya mapenzi
mwenzenu nalia nalia nalia na mengi,
uuuhhhh jamani nalia nalia sababu ya mapenzi

Najua alimaanisha kuwa simfai ila lakini angesema,
kuliko alichofanya me akantoa nishai akanimeza akanitema
nyie mapenzi yanauma vibaya vibaya vibaya,
mmmmhhhhh mapenzi yanauma vibaya vibaya vibaya
nikiwaza hii  safari ndo inanifanya mi usingizi sipati,
huwa nakumbuka mbali hasa nikisikia harufu yake ya marashi

By: Diamond Platnumz
Song: Nalia Na Mengi
Diamond Platnumz Ft Chid Benz

Comments