Labda juu ya kaburi utanipenda mimi
nikiwa sina uhai
hisia zangu haziheshimiwi
najidharau sifai
heri ya upofu wa macho kwa yale nayoyaona
umeruhusu mboni zangu me kumwaga machozi yaani
ungejua hisia za mapenzi kutesa moyo ila bado hazichoshi
kupendwa sipendwi najua wazi ila bado silingi
maana kesho nitaurubuni moyo unapendwa na unapenda
Mi nna meno ila najiona kibogoyo
kweli penzi donda moyo

By: Barakah Da Prince
Song: Siachani Nawe

Comments