Kwa ile imani ya enzi za kale
Mi nliamini ntakufa nawe
lla mimi sikulaumu wewe
Kwani mungu ndo apangayee
Yale yote ya zama za kalee
Mi nilipango kuishi na wewe
Mwenye hali nsiye na mali
Wenye mali wakawa na wewee
Hukunificha matendo yako
Machafu uliniacha nione
Bila kujua yalisaidiaa
Nikazoea ila nikaumiaa
Sababu bado nakuhitajii
Kwangu muhimu ni kama maji
Cha ajabu bado nakuhitaji
Atayekutenda njo kwangu mimi

By: Alikiba
Song: Maumivu

Comments